Michezo

David Carmona aahidi kumdondosha mpinzani wake kwa ‘KO’ ulingoni

Mwanamasumbwi, David Carmona amesema kuwa anakwenda kumpiga mpinzani wake, Kal Yafai kwa ‘knockout’ kunako ulingo siku ya Jumapili.

Kijana huyo mwenye umri wa miaka 27, ameshinda mapambano tisa kwa KO kati ya 31 aliyopigana hali inayomfanya kujiamini zaidi kuelekea pambano hilo la ubingwa wa Dunia mkanda wa WBA uzito wa super-flyweight utakao fanyika majira ya asubuhi siku ya Jumapili uwanja wa Mart Arena, Fresno.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents