Michezo

David Moyes achaguliwa kuwa kocha mpya wa Manchester United

Kocha wa Everton David Moyes amekubali kurithi mikoba ya aliyekuwa kocha wa Manchester United Sir Alex Ferguson ambaye ametangaza kuachia ngazi kutokana na kuwa na umri mkubwa wa miaka 71 huku akiwa amebeba mataji zaidi ya 30. Pambano la mwisho la msimu huu dhidi ya West Brom ni la 1,500 tangu aanze kuifundisha Man U.

hi-res-161357440_crop_650x440

Mtandao wa TALK SPORT umeandika: “The Everton boss has agreed to move to Old Trafford and will join the club at the end of the season.”

Wakati huo huo kumekuwepo na mitazamo tofauti kwa mashabiki wa Manchester United kuhusu ujio wa Moyes huku wengi wakionekana kuukubali. Henry Rantaniemi ni shabiki mkubwa wa Man U ameandika: “If there was one manager in the league who deserves a chance at managing a big four club, then it is David Moyes. Is he possibly a future replacement for Alex Ferguson? Talking to many Manchester United fans, they seem to welcome the idea.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents