Burudani

Davido afurahia mafanikio katika umri mdogo

By  | 

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, Davido ameonyesha kufurahia mafanikio anayoyapata katika maisha yake akiwa na umri mdogo.

Davido ambaye kwa sasa yupo kwenye tour yake ya ‘The 30 Billion World Tour’ amepost katika mtandao wa Snapchat kuonyesha kuwa ni kijana mdogo mwenye miaka 24 lakini ana mafanikio ya mtu wa miaka 60.

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments