Burudani

Davido ampiga chini meneja wake Kamal Ajiboye

Davido ametangaza kumpiga chini meneja wake wa siku nyingi, Kamal Ajiboye.

Staa huyo ametumia mtandao wa Snapchat kueleza kuwa hana tena mpango na soko la kimataifa na kuongeza kuwa hayupo tena chini ya usimamizi wa Kamal Ajiboye.

Kamal ndiye amekuwa akimsaidia Davido kwenye issue zote za kimataifa ikiwemo kumtafutia collabo yake na Meek Mill. Pia ndiye aliyekuwa akizungumza na Sallam, kipindi Diamond anataka kumshirikisha kwenye remix ya Number One.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents