Burudani

Davido amwomba Mungu, asema anahitaji fedha zaidi

Mwanamziki kutokea nchini Nigeria, Davido Adeleke anayejulikana kwa ustawi wake na tabia yake ya kuonyesha utajiri wake kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, lakini mwanamuziki huyo anayetamba na ngoma ‘nwa baby’ amewashangaza mashabiki wake kupitia mtandao wa Instagram na kuwafanya mashabiki hao kujiuliza maswali ya kama mwanamuziki huyo huenda  anakumbwa na tatizo la kifedha.

Davido aliandika hivi katika Instagram story yake;

 

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents