Davido ang’ara tuzo za SoundcityMVP

Sio tu! kuingiza Naira milioni 500 kupitia tamasha lake la muziki la 30 Billion Concert lililofanyika mwaka 2017 kwa kuhusisha nchi kadhaa barani Afrika, Ulaya na Marekani. Vile vile mkali huyo ameikuba kinara kwa kuzoa tuzo tatu za muziki za Soundcity MVP Awards 2017 zilizofanyika nchini Nigeria, usiku wa kuamkia leo maeno ya Eko Convention Centre.

Kupitia ngoma yake ya “IF” iliyotoka mwaka 2017, Davido ameweza kushida tuzo kama ‘Song of the Year’, ‘Video of the Year’ na tuzo ya  ‘African Artist of the Year Award’. Wengine walionyakuwa tuzo za Soundcity MVP Awards 2017 ni  pamoja na Maleek Berry kama ‘Best New Act’, Tiwa Savage ‘Best Female MVP’, Diamond Platnumz ‘Best Male MVP’ na Wakati yuzo ya ‘ Best Collaboration’ ikaenda kwa Sarkodie na Runtown kupitia ngoma ya “Painkiller”.

Orodha ya washindi wa tuzo ya Soundcity MVP Awards 2017;

Best Collaboration: Sarkodie ft. Runtown – Painkiller
Best New Act: Maleek Berry
Digital Artist of the Year: Wizkid
Best Group: Distruction Boyz
Listener’s Choice: Olamide – Wo
Viewer’s Choice: Runtown – Mad Over You
Best Hip Hop: Cassper Nyovest
Best Pop: Maleek Berry
Producer of the Year: Young Jonn
Song of the Year: Davido – IF
Video of the Year: Davido – IF
Best Female MVP: Tiwa Savage
Best Male MVP: Diamond Platnumz
African Artist of the Year: Davido

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW