Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Davido apona kesi ya mauji ya Tagbo

Msanii wa muziki, kutoka Nigeria Davido amekutwa hahna kosa katika sakata la mauaji liliokuwa likimkabili siku chache zilizopita.

Davido alikuwa akituhumiwa kufanya mauaji ya rafiki yake Tagbo Umeike wiki kadhaa zilizopita, hali iliyokuwa ikimuweka pabaya msanii huyo na mashabiki zake. Kwa mujibu wa mwanasheria wake Mr. Bobo F. Ajudua, ameeleza kuwa mteja wake ameachiwa na polisi kwa tuhuma za mauaji na sasa ataendelea na kazi zake kama kawaida.

“We’ve been to Panti and my client has given a statement there too. It’s clear from all the investigation, evidence, and statements given so far that David was not at any point with the deceased after he left him alive at Shisha room and as such he’s been released to go about his business,” amesmea Ajudua.

Akaongeza “Of course if called on to give any more information he would gladly. But in truth, he only knew so much about the night and has reproduced this time and time again. They’ve also observed the consistency between his statements and those of all the others interviewed, as a result he’s been allowed to go.”

Vilevile mwanasheria huyo akaongeza kuwa mteja wake amekuwa akituhumiwa makosa mengi katika media na amewasamehe wote waliokuwa wakimtuhumu na wao wataendelea na amaisha yao.

Mwanamitindo Caroline Danjuma, ambaye alikuwa mpenzi wa Tagbo  al8imtuhumu msanii huyo na kumtaka aseme ukweli kwani yeye ndiye mtu aliyekuwa naye usiku katika sherehe ambapo walikuwa wote wakivuta Shisha.

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW