Burudani

Davido asaini msanii mpya ndani ya lebo yake ya DMW

Davido ameendelea kutanua himaya ya lebo yake ya Davido Music Worldwide (DMW) kwa kumsaini msanii mpya.

Alhamisi hii muimbaji huyo amefanikiwa kumsaini msanii Peruzzi kupitia lebo yake hiyo.

Baada ya kufanikiwa kupata dili hilo, Peruzzi kupitia mtandao wake wa Instagram ameandika, “It’s called??? I FEEL BLESSED TO BE WELCOMED ON THIS PLATFORM… TIME TO LET THESE MUSIC HEAL THE WORLD!!!!! #TakeOver ✊✊✊ God Bless You @davidoofficial @kingpatrickgb @kolotainment WE MOVE!!!.”

Wasanii wengine ambao wanasimamiwa na lebo ya Davido ni pamoja na Yonda Music, Mayorkun, Dremo, Ichaba na mrembo Lola Rae.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents