Michezo

Davido ashindwa kuvumilia kipigo cha Barcelona kwa Real Madrid ‘nimepatwa na msongo wa mawazo’

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido  ameamua kuweka wazi hisia katikati ya mchezo kati ya timu yake ya Real Madrid dhidi ya Barcelona.

Image result for davido
Davido

Davido kunako kipindi cha pili dakika 85 ya mchezo wakati Barcelona wakiongoza kwa goli 4-1 ali-tweet na kuandika “Jamani napatwa na msongo wa mawazo Barcelona wanacheza sana“.

Davido ambaye ni shabiki wa kutupwa wa Real Madrid, alishawahi kueleza kuwa sababu kubwa ya kuishabikia Real Madrid ni kutokana na uwepo wa Cristiano Ronaldo.

Kwenye mchezo wa leo wa El Clasico, Barcelona wamechomoza na ushindi wa goli 5-1 dhidi ya Real Madrid.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents