Burudani

Davido, Diamond na Cassper Nyovest, kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Big Brother, Jumapili

Davido, Diamond na rapper anayetamba kwa sasa Afrika Kusini Cassper Nyovest wametangazwa kutumbuiza kwenye ufunguzi wa shindano la Big Brother Afrika, Jumapili hii.

bba

Ufunguzi huo utarushwa live kuanzia saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Cassper Nyovest anajulikana kwa ngoma zake kama “Gusheshe” na “Doc Shebeleza” na amewahi kushare jukwaa na wasanii mbalimbali wakiwemo Kendrick Lamar na Wiz Khalifa.

Wengine ni pamoja Dj Dimplez, AB Crazy na Emmy Gee ambao wanafahamika kwa wimbo wao “Rands and Naira”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents