Burudani

Davido ndiye aliyesisitiza tufanye video muda huu – Joh Makini

Joh Makini amesema ni Davido ndiye aliyemsisitizia Joh Makini wafanye video ya collabo yao muda huu.

“Actually yeye ndiye alinicheki mimi kwa it’s a time ya kufanya hii ngoma,” Joh alimuambia mtangazaji wa Jembe FM, JJ.

“Alinicheki bwana ‘vipi Joh unaonaje this time tukifanya video ya huu wimbo utoke’, nikamuambia why not bana, tukapanga tukaja South tukafanya video,” ameongeza.

“Kwahiyo imekuwa rahisi kwasababu yeye ndiye alinicheck na by the time ananicheki tayari alikuwa na plan zake za kuja SA,” ameongeza Joh na kudai kuwa kwake yeye pia ulikuwa wasaa mzuri na hawakutaka kukurupuka.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents