Dawa za kuongeza wowowo marufuku!

Dawa za kuongeza wowowo marufuku!
Serikali imepiga marufuku mara moja kwa dada zetu kutumia dawa za
kuongeza wowowo, matiti na mahipsi kutokana na madhara kwa watumiaji
ikiwemo cancer

Sanjari na hilo, imesema Wizara ya Afya itasambaza wanoko wake kila
kona kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa mara kwa mara ili waweze kukamata
dawa hizo.

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Aisha Kigoda alitoa
msimamo huo wa serikali wakati akijibu swali la Mbunge Susan Lyimo
(Chadema) aliyetaka kufahamu msimamo wa serikali juu ya dawa hizo
ambazo zimekuwa zikitangazwa kwenye vyombo vya habari na watu kuzitumia
licha ya kuelezwa zinasababisha saratani.

Mbali na kukiri kuwa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA)ina upungufu wa
wataalamu wa kukabiliana na wenye dawa hizo za kuongeza makalio na dawa
bandia, alisema serikali imeboresha vituo vyake vya mipakani ambapo
dawa hizo zinapitia.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents