Habari

DAWASCO yatoa taarifa kuhusu maboresho ya mtambo wa maji

Shirika na Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO) lina watangazia wakazi wa jiji la Dar es salaam na Miji ya Kibaha na Bagamoyo mkoani Pwani kwamba kutakuwa na zoezi la uboreshaji wa mabomba ya maji.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents