Burudani

‘Dayna kapita kwenye melodi zangu’ – Foby (+Video)

Sio tu kubaniwa na wasanii wa kundi la Bwela Kuni, pia msanii huyo amezidi kufunguka juu ya kumuandikia msanii Dayna kiitikio cha ngoma ya komela.

Foby amebainisha hayo kupitia Mahojiano yake aliofanya na Bongo5 na kusema kuwa amemuandikia Msanii mwenzake Dayna Nyange kiitikio cha ngoma yake ya Komela aliomshirikisha Bill Nas.

Msikilize hapa chini Foby akifunguka jinsi alivyompa shavu Dayna Kwenye ngoma yake ya Komela

 

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents