Tia Kitu. Pata Vituuz!

Daz baba afunguka mengi kuhusu Bongo Fleva, achukizwa na wasanii wanaoimba matusi, akunwa na kipaji cha Diamond na Alikiba (+ Video)

Msanii mkongwe wa Hip Hop katika tasnia ya Bongo Fleva Daz Baba alimaarufu Daz Mwalimu afunguka mengi kuhusu muziki wa Bongo Fleva.

Katika mahojiano aliyofanya na Bongo Five Daz Baba ameeleza jinsi anavyochukizwa na wasanii wanaoimba matusi.

Mbali na hilo ameelezea kufurahishwa na kipaji cha Diamond na Alikiba.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW