Tupo Nawe

Daz baba arudi kivingine aachia video ya wimbo wa ‘Karibuni Tanzania’ akitangaza vivutio vya kitalii nchini (+ Video)

Daz baba aachia video ya wimbo wake wa Karibuni Tanzania

Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa mtindo wa kufoka rap Daz baba ameachia video ya wimbo wake mpya wa “karibu Tanzania” mbali ya kukaa kimya kwa muda ameamua kuja kivingine kwa ajili ya kutangaza vivutio vya kitalii hapa nchini.Video imefanyika na #Director Chidy bwax & #Jacktan kibiki. Audio imefanywa na producer #Roxer

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW