Siasa

DC Hai alivyowaamuru TAKUKURU kuwakamata maafisa watatu wa TANESCO mkoa wa Kilimanjaro, Aeleza sababu hizi – Video

TAKUKURU wilayani Hai kwa amri ya Mkuu wa wilaya hiyo @lengai_ole_sabaya – Inawashikilia Maafisa watatu wa shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoani Kilimanjaro ambao ni Kaimu Meneja wa TANESCO mkoa, Afisa manunuzi na Mhasibu wa Mkoa kwa tuhuma za kushindwa kupeleka kiasi cha Tsh Milioni 50 walizozipokea serikalini toka mwaka 2019 kwa ajili ujenzi wa Ukuta wa ofisi Kuu ya TANESCO wilaya ya Hai.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents