Habari

DC Hai aondoa zuio la watu kutokwenda bar kuanzia saa mbili usiku kijiji cha Isuki (+Video)

Serkali wilayani Hai kupitia Mkuu wa Wilaya @lengai_ole_sabaya Imeondoa Zuio batili zililowekwa na baadhi ya viongozi katika kijiji cha isuki kata ya masama kati ambalo lilikuwa linakataza wananchi kutembea na kutokuwa bar kuanzia saa mbili usiku.

Mkuu wa wilaya Hiyo @lengai_ole_sabaya ameiongoza kamati ya usalama na kuamuru viongozi watano wa kijiji hicho kushikiliwa na vyombo vya dola kwa kuwatoza wananchi kiasi cha Elfu sitini au kuwachapa viboko na upupu kwa walioshindwa kutekeleza Amri Hiyo Batili.

katika hatua nyingine amesitisha shughuli za sungusungu na kuamuru kuondolewa kwa polisi kata kwa kushindwa kulinda wananchi na mali zao huku akinyamazia uonevu na unyanyasaji.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents