Habari

DC Malinyi na Mkurugenzi wake, Mussa Mnyeti watumbuliwa na Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli leo Septemba 17, 2019 ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Majura Kasika na Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Mussa Mnyeti.

Utenguzi huo umekuja siku moja baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuonesha kukerwa na viongozi hao kutokuwa na uhusiano mzuri, hivyo kuathiri utendaji kazi wao.

Image

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents