Habari

DC Ole Sabaya: Sigombei nafasi yoyote, nafasi aliyonipa Rais ni ya heshima (+Video)

Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole sabaya @lengai_ole_sabaya Akiwaaga wananchi wa kata ya sambasha waliomchagua kuwa diwani wao mwaka 2015.
Wakati akiwaaga wananchi hao @lengai_ole_sabaya aliongea maneno yafuatayo:-

Sigombei kazi aliyonipa Rais Magufuli ni ya heshima sana kama sintoheshimu hicho hata huko ninakoenda sintakuwa na kipya, ni upendeleo kuteuliwa na Rais lakini pia ni heshima kuteuliwa na Rais kama Magufuli.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents