Denzel Washington kushoot filamu nchini Nigeria

Denzel+Washington+Premiere+Paramount+Pictures+N25EN8gRlI6l

Muigizaji wa Hollywood, Denzel Washington anatarajiwa kuwasili nchini Nigeria wiki ijayo ili kushoot filamu mpya iitwayo Spider Basket.

Filamu hiyo imefadhiliwa na mfanyabiashara wa Nigeria Dennis Osadebe.

Uamuzi wa Osadebe kumchukua Denzel Washington kuigiza kwenye filamu hiyo pamoja na waigizaji wa Nigeria ni kumtaka muigizaji huyo ashuhudie vipaji vya uigizaji vilivyopo nchini humo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents