Tia Kitu. Pata Vituuz!

Dereva Bajaj apachikwa jina la Kamanda Mambosasa kisa, aeleza sababu (Video)

Kijana huyo ambaye jina lake ni Shillu anapatikana Kinondoni B jijini Dar es Salaam, alisema magari wengi na bajaj wanaweka picha za wachezaji na wasanii lakini yeye anamkubali Kamanda Mambosasa ndio maana akaamua kuweka picha yake. “Mambosasa ni next level, hapa nimetumia zaidi laki moja kwenye picha pamoja na kuitengeneza, namkubali sana jamaa, sisi madereva bajaj ndio tunajua jinsi tulivyokuwa tunaibiwa lakini Mungu sasa hivi hali swari” alisema Shillu.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW