BurudaniVideos

Dessamo kukamilisha video ya Wanagwayagwaya

Desamo
mwanamuziki Deogratus Mongella ‘Dessamo’ anatarajia kufanya video ya wimbo wake wa Wanagwayagwaya aliomshirikisha mwanamuziki toka kundi la Mexicana  Chibwa. mwanamuziki huyo alishawahi kufanya nyimbo zingine kama Angel,


aliomshirikisha Mesen Selekta, Nakukumbhusha aliofanya na mwanadada Vocolist wa kundi la Mexicana Tanah, na Mesen katika wimbo unaitwa Nakukumbusha.

Amesema video ya Nakukumbusha ndiyo ipo kwenye mikakati hiyo ya mwisho kurekodiwa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents