Burudani

Destiny’s Child kurekodi album mpya, asema baba yake Beyoncé

Mathew Knowles amedai kuwa kundi la Destiny’s Child linaloongozwa na mwanae, Beyoncé – litarekodi album yake mpya na Michelle Williams tayari amethibitisha.

Destinys-Child-destinys-child-33327447-1280-960

Baba yake Beyoncé aliyelisimamia kundi hilo amedai kuwa mipango inaendelea kwa wasichana hao, Michelle, mwanae na Kelly Rowland, kuingia studio na kurekodi album mpya.

Mathew aliliambia jarida la Heat kuwa alipokea email kutoka kwa Michelle aliyemwambia kuwa yupo tayari kuungana na wenzake kwaajili ya ujio mpya.

Mathew aliwahi pia kuwa meneja wa Beyoncé lakini aliachishwa kazi mwaka 2011.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents