Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Leo ni mwaka mmoja tangu kifo cha Goldie wa Nigeria

Leo ni mwaka mmoja tangu kifo cha muimbaji wa Nigeria, Goldie ambaye pia alishiriki kwenye shindano la Big Brother Africa mwaka juzi.

Goldie-mystreetzmag-Cover

Kutokana na kifo chake cha ghafla, label yake, Kennis Music iliandika:

On behalf of Kennis Music, I’m sad to officially confirm the shocking and untimely passage of Nigeria’s pop star, Goldie Harvey. With a deep sense of loss, we announce the shocking death of our darling music star, Goldie Harvey.

Goldie, 31, died on Thursday after she complained of a severe headache at her Park View residence shortly after her arrival from the United States where she went to witness the Grammy Award. She was rushed to her official hospital, Reddington, Victoria Island, Lagos, where doctors pronounced her dead on arrival.

We consider this period a gloomy moment for us and the entire Nigerian music industry in view of the circumstance Goldie passed away, the abundance of talent she has exhibited in her but eventful music career and the various opportunities her trip to the United States of America would have availed her. She is survived by her father, step- mother, brothers and sisters. We deeply sympathize with her family and fans all over the world and very grateful to all and sundry, especially, the vibrant Nigerian media for their concern and prompt reportage. We shall keep everybody informed as events unfold as we are still devastated by the sudden loss.”

Meanwhile, the remains of Goldie, who hails from Ekiti State has been deposited in the mortuary of the Lagos University Teaching Hospital, Ikeja, Lagos. Goldie represented Nigeria at the Big Brother Star Game in 2012. Her latest effort, she described as three nawti singles from her forthcoming African Invasion album are “Skibo”. “Miliki” and ” Got To Have It,” are presently enjoying heavy rotations on radio and TV stations across the continent. Burial arrangements will be announced by the family. May her soul rest in peace.

Adieu Goldie!!!!

Hizi ni habari kutoka website tatu ambazo ziliandika habari ya kifo chake wakati ambapo wengi walikuwa hawaamini kama ni kweli.

Rest In Peace Goldie Harvey… Nigerian Singer Passes On – Bella Naija

What a sad way to end the day! Bado tupo kwenye mshtuko mkubwa kuhusiana na habari zilizotukifikia kwamba muimbaji wa Nigeria Goldie Harvey amefariki. Taarifa kuhusiana na kifo chake bado si za kina lakini vyombo vya habari vimeripoti kuwa alifariki jana usiku kwenye hospitali ya Reddington huko , Victoria Island, Lagos mikononi mwa rafiki yake wa karibu, Denrele.

Denrele
Denrele

Goldie alikuwa amerejea Nigeria kutoka Marekani ambako alihudhuria tuzo za Grammy akiwa na bosi wa record label yake ya Kennis Music, Kenny Ogungbe.

Kenny St. Best, msanii aliyechini ya Kennis Music alithibitisha habari hizo kwa BellaNaija.
“Ni kweli. Bado siamini. Bado nina mshtuko.”

Kenny St. Best
Kenny St. Best

And The Sun Sets for Goldie (1983-2013) – Nigeria Entertainment Today

Ni ngumu kuamini. Lakini waandishi wawili wa NET wameiona maiti yake saa chache baada ya kufariki na kuifuata gari iliyokuwa imeubeba mwili wake kutoka hospitali ya Reddington kuelekea chumba cha kuhifadhia maiti huko Ikeja, Lagos.

goldie 22

Mabosi wake wa label aliyopo Keke Ogungbe na ID Ogungbe, rafiki yake kipenzi, Denrele Edun, mshiriki wa BBA Karen Igho na wengine wote wamekesha usiku kucha hospitali wakisubiria miujiza na kujipanga kuupeleka mwili wake kwenye chumba cha kuhifadhia maiti, wakati mamilioni ya tweets yakimimika yakiuliza swali moja tu: Je! Ni kweli?

Ni kweli. Jua limezama kwa Goldie.

Tragedy! Singer Goldie Harvey Is Dead – Nigeria films

Katika hatua ya kushangaza watu wa karibu wametujulisha kwa siri kuwa Denrele, alimpigia kwanza simu Linda Ikeji, blogger maarufu na kumjulisha kuhusiana na kifo cha muimbaji huyo mrembo, Goldie, na tunajiuliza kwanini Linda na sio wazazi wake. Ingawa tulibaini kuwa mama yake wa kambo amethibitisha kifo chake.

Baada ya kumjulisha Linda kuhusiana na habari hii, Denrele alidaiwa kuzima simu na hakupatikana tena. Hii kwa mujibu wa mwandishi mahiri wa habari (hajatajwa jina) inaweza kuwa ni njia ya maandalizi ya Reality TV show Denrele na Goldie wanaanzisha.

Kwa mujibu wa chanzo kingine Goldie alikuwa na Asthma na vyanzo vingine vikisema amefariki kutokana na Pneumonia.

Katika hali ya kushangaza wakala wa booking wa Goldie aitwaye Teejaysstar aliwachanganya mashabiki wa Goldie kwa kukanusha kifo chake kupitia Twitter: My client is well.. Pls disregard d fallacy whereva it emanates from.After hating on a successful person, death seems to b dia next tot. Smh.

Baadaye alikuja kuandika tena: Please note any tweet off dis TL was done via a blog witout my knowledge… Hence d reason to delete and correct… God bless.

Kuonesha kuwa kifo cha Goldie ni kweli, producer Don Jazzy alitweet: This is just sad. i can’t even understand death anymore. RIP dear. Bye guys.

Naye Navio waliyefanya wimbo uitwao Kamili alitweet: This is hard to believe,still hard to register,You will be dearly missed. RIP Goldie.

Prezzo ambaye hadi Goldie anafariki walikuwa wapenzi ameandika: It’s now one yr since u left us 4 a better place, deep dwn I know ur watching over ur loved ones & for tht we celebrating ur life my guardian angel… #RIP24K #SkiboboQueen #Goldie

.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW