Burudani

Diamond afunga mwaka vibaya

diamond_vibzyz

Katika kusherekea mkesha wa mwaka mpya mwanamuziki wa kizazi kipya, Diamond  amejikuta akiumaliza mwaka vibaya  kwa kusekwa Lumande huko pande za Iringa kwa kosa la kuvunja kamera na  kumjeruhi Mwandishi wa mkoani hapo ambaye alimfuata kwa lengo la kumuuliza kwanini alichelewa kufanya show.

Mwanamuziki huyo ambaye alichelewa kufanya Show mkoani hapo, na kujikuta akiwa katika wakati mgumu pale wananchi hao walipohitaji burudani kutoka kwake. ila zaidi ya hayo ingia www.michuzi.blogsport

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents