Burudani ya Michezo Live

Diamond afunguka ishu ya Harmonize kukosa visa ya kwenda nae kwenye tamasha la One Africa Fest nchini Marekani (+Video)

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mwanakundi mwenzake kutoka WCB, Harmonize kukosa Visa ya kusafiria kwenda Marekani kwenye tamasha la One Africa Music Fest lililofanyika wiki iliyopita, Ambayo alipangiwa atumbuize naye .

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW