Burudani

Diamond ajibu ishu ya kuvaa kikuku ‘wanavaa wahuni waliotoroka jela, mtu hawezi kunipangia kuvaa’

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kwa mara ya kwanza amejibu sakata la kuvaa cheni za miguuni almaarufu kama Kikuku ambapo amewasanua watu kuwa kitendo hicho kinatafsiri mbali mbali kulingana na nchi husika.

Diamond kupitia Wasafi TV amesema kuwa kwa Marekani au nchini nyingine mtu kuvaa cheni mguuni anaonekana kama shujaa ambaye ametoroka jela.

Pia Diamond amedai kuwa hakuna mtu ambaye anaweza kumbadilisha kwenye mavazi kwa sababu anavaa kile anachokitaka na kama atamfuatilia ataumia tu kwani fasheni kila mtu ana fasheni yake na tayari ana watoto watatu na shughuli yake watu wanamjua.

Related Articles

92 Comments

  1. Eeeh naona km akuchukiae akuchaguliyi tusi kumpimanisha kiba na dia kuvaa apo nikama utakuwa unakosa lakusem ajili kiba kuvaa ajuwi ,ajajuwa na atawi juwa kamw siyo fahani yake ila kwa dia kuvaa ni kipaji na ujuwe km East Africa kabla wa sanii wengi sn dia kawafunza kuvaa sn wamshukuru kbs ukubali ukatae ukweli ndo uyo..kiba ata rayvanny anamzidi itakuwa dia

  2. 😂😂😂😂😂 Tz bhana hv mtakua lini kubishana kusiko na msingi yeye si maisha yake????yanawahusu nini??si kaamua yeye kama yeye??sasa mnabishana kama nn sijui mwenzenu hata mkimsema bado anapiga pesa km kawa na maisha yake yanaenda!!!!na anazidi kupendwa kila kukicha 😂😂😂😂😂 kaeni chini mgundue kiwanda cha kutengeneza vikuku vya almasi+dhahabu muone kama hawalishi huyo 😂😂😂😂tena mtakua matajiri wakubwa

  3. Mtu mpumbavu siku zote uwa anafikilia jinsi gani ya kumualibia mwenzie, mara anajiona, mara hapendezi, mara anadharau, mara anáfirwa na maneno mengi ya kijinga ili tu wivu aliokuwanao na jinsi raho inavyomuuma kwa maendeleo ya mwenzie. Tuacheni upuuzi huu hasa sie watz na hii inaonekana wengi wa watanzania hatujatembea na kuona jinsi gani watu wanavaa. Mr Diamond Platnumz fanya mambo yako na wajingawajinga haina umuhim wa kuwajibu kwani ulimya ni dawa ya mjinga.

  4. Haya baba hupangiwi cha kuvaa vaa basi mpaka brazia,au vaa na chachandu kabisa na km majembe yanapita rafu rodi sema kuliko kudhalilisha utamaduni wa kitanzania,Jua utamaduni wa kitanzania si sahihi mwanaume kudress namna hiyo unaambiwa unapanua hilo domo km choo cha Tandale,respect muhimu kwenye jamii pesa isikupe kiburi,

  5. #fashion ya ksasa eeen duh 2jpe pole w/me wa Tz especially dar hk kzaz knakoelekea m2 atafirwa 2one pia ni fashion na yy mondi mwenyewe ameshasema kuwa waliotoroka jela ndo wanafanyaga hvyo akimaanisha #manyapapa yashafanya yao hapo co bure
    #gentil_ndoye

  6. Kwani kikuku ndio nini?., au kwasababu siku hizi tumeelimika kuvaa vizur ndio mnaongea sana angalia hapo zamani watu walikuwa wanavaaje. Yaan tulikuwa tunazuia utupu tu na mfereji wa maji machafu.

  7. Kikuku ndo nini?? Wanao uza uchi ndo huvaa nikwaajili ya kutowa ishara kwa wateja wao kuwa wanatowa huduma ya nyuma na mbele. Utamaduni huu uliaanzia india ndugu. Watu wanainga bila kujuwa. So ishara ya kuvaa kikuku ni kumaanisha kuwa malaya. Rudi shule Musa Isac

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents