BurudaniDiamond Platnumz

Diamond akata mzizi wa fitina

wemadiamond

Baada ya bwebwe na maneno ya hapa na pale msanii Nasib Abdul ameamua kufunga kazi na kuachana na maneno ya kuzushiana kwa kumvisha pete ya uchumba laazizi wake Wema Sepetu katika ukumbi wa New Maisha Club wakati wa sherehe za kuzaliwa kwake.


wema2

Mwanamuziki huyo aliyatimiza hayo baada ya minong’ono ya hapa na pale kwamba anahitaji kumfanyia ‘Suprise’ aka Mshangao katika siku hyo, na watu kumtafsiri tofauti kwani kila mmoja aliongea lake, lakini mwisho wa siku aliamua kukata mzizi wa fitima kwa mdada huyo wa Bongo Movie na aliyekuwa miss Tanzania mwaka 2006. Ni hayo tu….

wema_na_dimond_jukwaani

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents