Burudani

Diamond amvulia kofia Young Killer Wasafi Festival ‘Your My Favorite Rapper’ (Video)

Show ya rapa Young Killer Msodoki Wasafi Festival mkoani Sumbawanga imemfanya rais wa WCB, Diamond Platnumz kutoa kauli yake juu ya uwezo wa kijana huyo.

Rapa huyo Jumamosi hii alipandishwa stejini na kitanda cha wagonjwa akionekana kuwa hoi huku akiwa amefungua bandeji mkononi na kichwani lakini baada ya kusikia shangwe la mashabiki wake hao aliinuka kitandaoni na kuanza kufanya show.

Baada ya show hiyo, mratibu wa Tamasha hilo Diamond Platnumz ameibuka na kumwagia sifa nyingi rapa huyo kijana.

Wengi, Hawakunielewa kwanini Your My Favorite Rapper..!!! na Wakastaajabu kabisa kuona eti Diamond kaacha Wanigeria kamshirikisha @youngkillermsodokii kwenye PAMELA…. Hawakukiona Nilichokiona Ndani YaKo….NOW kupitia #WasafiFestival2018 THEY SEE!!!\nSUMBAWANGA!!!! SUMBAWANGA!! nimewaahidi na tunafanya Hivyo, kuanzia saa sita njoo na familia Nzima #WasafiFestival2018 leo inafanyika BUUUUUURE Pale Viwanja vya NELSON MANDELA… kuanzia saa sita MCHANA hadi saa MOJA usiku MWISHO!!!!… Tunaimba na KUCHEZA ngoma ZOTE!!! @WasafiTv

Toka rapa huyo apate show za Wasafi Festival ameamua kuwa mbunifu katika show zake zote alizofanya. Angalia full video hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents