Burudani

Diamond aongoza orodha ya mastaa wanaoishi Afrika wenye followers wengi zaidi Instagram

Diamond Platnumz si tu msanii aliyechukua tuzo kubwa zaidi kuliko wasanii wote wa Afrika mwaka huu (MTV EMA – Best Worldwide Act: Africa/India), bali pia ndiye msanii anayeishi barani Afrika mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram kwa sasa.

1663203_863176703798731_1287169950_n

Awali nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa Nigeria, Davido.

Hata hivyo orodha ya mastaa waliofikisha followers milioni moja imeongozwa na watanzania.

Hii ni orodha kamili kwa mujibu wa namba za December, 29.

1. Diamond Platnumz 1,502,578
2. Davido 1,498,823
3. Wizkid 1,362,760
4. Wema Sepetu 1,213,798
5. Millard Ayo 1,165,390
6. Don Jazzy 1,154,318
7. Jokate Mwegelo 1,098,848
8. Jacqueline Wolper 1,085,781
9. Zari the Bosslady 1,084,842
10. Vanessa Mdee 1,061,682

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents