Burudani

Diamond arusha dongo: Msituletee watoto kwenye shughuli za wanaume (+ Video)

Leo ilikuwa zamu ya Sinza na Tegeta kupata fursa ya kukutana na wasanii wao kutoka WCB na nje ya WCB ambapo wamefanya zoezi la kugawa mafuta kwa boda boda na bajaji.

Kabla ya kuanza kugawa mafuta alionekana kukerwa na mmoja ya DJ ambaye alihusika katika playlist yake wakati anawaburudisha mashabiki wake ambao ni mabodaboda na madereva bajaji.

https://www.youtube.com/watch?v=kcTUG-406Rg

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents