Diamond Platnumz

Diamond asema reality show yake na Zari inakuja ‘lakini itakuwa kubwa na tofauti’

Reality TV ya couple kwenye burudani iliyo na nguvu zaidi Afrika Mashariki inakuja.

11190802_1603201569954034_836554383_n

Yes, Diamond Platnumz na Zari the Bosslady wanafikiria kuja na show yao!

“Hatutaki kufanya ionekane na sisi tunataka kufanya,” Diamond alisema kwenye mahojiano maalum na Clouds FM/TV leo.

“Lakini tutafanya kitu ambacho kitakuwa bora ambacho kama tulivyoweza kufanya vitu vingine vikafanyika vizuri hilo nalo likae sawa na kila mmoja alifurahie. Kiwe moja ya vipindi vingine ambavyo watu wanavisubiria wavitazame na kilete maslahi pia.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents