Burudani

Diamond ashinda tuzo mbili za NAFCA 2015

Mwaka 2015 unaweza kuwa mwaka ambao Diamond Platnumz atashinda tuzo nyingi zaidi za kimataifa.

Diamond akizungumza na waandishi wa habari
Hivi karibuni Diamond alishinda tuzo ya mtumbuizaji bora wa Afrika kwenye MTV MAMA

Weekend hii staa huyo wa ‘Nana’ ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za Nollywood and African People’Choice Awards.

11363819_947417188652129_1926670237_n

Tuzo hizo ni pamoja na Favorite Song of the Year na Favorite Artist of the Year.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents