Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Diamond athibitisha Maromboso kujiunga WCB

Hatimaye Diamond Platnumz ameamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi kuhusu Maromboso kujiunga WCB.

Kupitia mtandaio wa Instagram, Diamond ambaye ni bosi wa lebo hiyo amethibitisha kuwa msanii huyo wa zamani wa kundi la Yamoto Band ni mmoja wa wasanii wake lakini kitu kinachosubiriwa ni muda husika ili aweze kutambulishwa.

Kupitia mtandao huo Diamond ameandika.

Happy birthday @mbosso_ words can’t Express how big fan of yours i am…. i can’t wait, to officially introduce you as the Member of @wcb_wasafi Artists & Family…. i can’t wait for the world to hear the special and unique Talent that you have, that makes me be your Number One fan…… Happy Birthday Young Khan! ? (Kheri ya siku ya kuzaliwa @mbosso_ ….maneno kamwe hayatoweza kutosha kuelezea ni kias gani mie mshabiki ako….Heshima na Busara zako hunifunza mengi… Nasubiria kwa hamu siku ya utambulisho wako rasmi kama Msanii na Mwanafamilia wa @wcb_wasafi …Vilevile Ulimwengu kusikia kipaji kingine kizuri kutoka Tanzania… Mungu akupe Maisha Maref , Upendo na Furaha?) #Hallelujah

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW