BurudaniDiamond Platnumz

Diamond atikisa London

 

Msanii aliyeingia kwenye game kwa safu kali hasa kwa kibao chake maarufu ‘Mbagala’,ameonekana kupata mafanikio makubwa sana mwaka huu.


Licha ya kuwa msanii pekee kutoka Tanzania kuteuliwa kama msanii chipukizi katika Tuzo za MTV Base, Diamond ameonekana kukubalika vilivyo na mashabiki ndani na nje ya nchi.

Msanii huyo hivi karibuni alipata nafasi ya kwenda kupiga shoo Uingereza ambapo ilisadikika kuwa mafansa hadi mapromota,Urban Pulse, kumkubali chalii huyo kwa umahiri wake kimuziki na uwezo wake kukonga mioyo ya wapenzi wake.

‘Namkubali sana Diamond. Kweli ameniburudisha vyema sana usiku huu na ninamtakia kila la kheri katika kazi zake kimuziki.’ alisema shabiki mmoja kutoka huko Ukerewe.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents