Burudani

Diamond awapiga kijembe Clouds Media kweupe ‘wameomba poo kwa mlezi wetu, leo kawa sio mvamizi ? ‘ (+ Audio)

Diamond awapiga kijembe Clouds Media kweupe 'wameomba poo kwa mlezi wetu, leo kawa sio mvamizi ? ' (+ Audio)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz amewarushia kijembe Clouds Fm kwa kusema wameomba poo kwa mlezi wao akimaanisha Paul Makonda.

Inafahamika kwamba mlezi wa Wasafi ni mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Mkonda hivyo baada ya jana Clouds kumtumia Makonda katika moja ya video akiongelea inshu ya Ruge na kwamba yeye mwenye atakuwepo Fiesta imekuwa habari nyingine tena.

 

Diamondi kaandika hivi:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents