Burudani

Diamond aweka rekodi nyingine, video ya wimbo wake wa Inama yafikisha Views mil 1 ndani ya masaa 16 tu, Fally Ipupa atia neno (+ Video)

Diamond aweka rekodi nyingine, video ya wimbo wake wa Inama yafikisha Views mil 1 ndani ya masaa 16 tu, Fally Ipupa atia neno (+ Video)

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameendelea kuishangaza dunia kwa kuendelea kuweka rekodi mbalimbali kwenye muziki wa BongoFleva kwa kuweka rekodi nyingine kupitia wimbo wake wa Inama aliyomshirikisha msanii kutoka DR Congo FALLY IPUPA.

Mbali na kufikisha watazamaji milioni moja kwa masaa 16 tu lakini pia aliwahi kufikisha watazamaji kama hao kupitia wimbo wake wa Halleluya aliowashirikisha Morgan Heritage kutoka Jamaic kwa masaa 15 tu.

Lakini pia msanii aliyemshirikisha Fally Ipupa alitia neno kwenye video ambayo Diamond aliirekodi akiwa na mpenzi wake Tanasha wakicheza wimbo huo ambapo ali-Comment chini.

Fally aliandika hivi:-

By Ally Juma.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents