Burudani

Diamond, Flavour, Yemi Alade kutumbuiza kwenye tuzo za CAF Alhamis hii Abuja

Diamond Platnumz ataungana na Flavour na Yemi Alade kutumbuiza katika tuzo za shirikisho la soka barani Afrika, CAF.

Tuzo hizo zitatolewa Alhamis hii (January 5) mjini Abuja, Nigeria.

Wasanii wa Afrika Kusini, Muffinz nao watatumbuiza. Pia Dj nguli, Jimmy Jatt atakuwepo kuburudisha. Tuzo hizo zitaruka live kuanzia saa 12 jioni saa za Afrika Mashariki hadi saa 4 usiku kupitia Supersport Channel 4 (204), SS 9 (209) ana kupitia GOTV.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents