Burudani

Diamond kufanga ndoa na mwanamke gani kati ya hawa (Video)

Msanii wa muziki Diamond Platnumz amemuahidi mama yake kufunga ndoa mwaka huu na kuachana na mambo ya ujana ambayo amedai yanamchukiza mama yake. Mwimbaji huyo alitoa taarifa hiyo jana wakati akimtakia heri mama yake katika siku ya wanawake duniani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents