Burudani ya Michezo Live

Diamond kujenga restaurant ya kisasa kwenye stesheni ya reli ya SGR Dar (Video)

Msanii ghali wa muziki @diamondplatnumz ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam @baba_keagan kutembelea stendi ya reli ya kisasa ya SGR ambayo kwa sasa imekamilika kwa asilimia 82.

Diamond amesema yeye ameona fursa kwenye stesheni hiyo kubwa Afrika Mashariki ambapo amesema licha ya WCB kufungua maduka yeye atafungua mgahawa wa kisasa.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW