Habari

Diamond na Harmonize watoa heshima kwa mwili wa Masogange, Mamia wazimia Leaders (+Video)

Wasanii kutoka WCB, Diamond Platnumz na Harmonize ni moja ya wasanii waliojitokeza katika kuuaga mwili wa Marehemu, Agness Masogange katika viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam. Tazama video ya tukio zima la uagwaji wa mwili huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents