Burudani

Diamond na Mameneja wake watinga BASATA kumaliza sakata la mkataba wa Rich Mavoko na WCB (+video)

Diaomond Platnumz na Mameneja wake wawili, Babu Tale na Sallam wametinga BASATA kuitikia wito wa baraza hilo kuhusu malalamiko ya msanii wa muziki Rich Mavoko aliyedai kuwa mkataba wake na WCB umekaa kinyonyaji.

Related Articles

11 Comments

  1. ata asiwaze mbona kazi yake ilikuwa nzury ila nakuomba usiweke bifu na mond maana binaada bhana huwa tuna matatizo apo utaona kajitoa mwenyewe wcb alafu anaanza kumtolea maneno machafu mond endapo utafanya hivyo me ntakuchukia

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents