Videos

Diamond na Omarion waacha historia kwenye uzinduzi wa A Boy From Tandale (Video)

Msanii wa muziki kutoka WCB, Diamond Platnumz amefanya show ya nguvu akiwa na muimbaji kutoka Marekani, Omario. Wawili hao waliweza kuimba wimbo ‘African Beauty’ ambao unapatikana katika albamu mpya ya muimbaji huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents