Aisee DSTV!

Diamond Platnumz aachia audio za nyimbo tano ikiwemo aliyomshirikisha Young Killer

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameamua kuachia audio wa wimbo wake wa Pamela aliyomshirikisha  Rapa Young Killer uliyopo kwenye albamu yake ya A Boy From Tandale.

Baadhi ya nyimbo nyingine alizoachia ni pamoja na Sijaona, Kosa Langu, Baikoko na wimbo wa tano ukienda kwa jina la Nikuone.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW