Videos
Diamond Platnumz aachia video ya Inama Ft. Fally Ipupa, Nyoka na madensa zaidi ya 20 wahusishwa (+video)
Hatimaye Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake mpya wa Inama akiwa na Fally Ipupa.
Asilimia kubwa ya video hii imefanyiwa nchini Ufaransa.