Videos
Diamond Platnumz aachia video ya wimbo wake Kanyaga, Awapitia wapiga mizinga, Ma-slayqueen na Ma-ex wake
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake mpya wa Kanyaga ambao umeongozwa na Director Kenny na kuzalishwa na Producer S2Kizzy.