Tupo Nawe

Diamond Platnumz aachia wimbo mpya #TheOne, Video yafanyika mikoa mitatu Tanzania (+video)

Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake mpya wa The One, ambapo asilimia 100 kichupa hicho kimefanyika mikoa mitatu ya Morogoro, Pwani na Tanga.

Mdundo wa ngoma hii umegongwa na Laizer na kichupa kimeongozwa na Director Kenny.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW