AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Diamond Platnumz amtambulisha rasmi Tanasha kwa mama yake mzazi (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz jana Januari 13, 2019 amemtambulisha rasmi mchumba wake mpya Tanasha kwa mama yake mzazi.

Kwenye utambulisho huo, Diamond aliwaalika pia ndugu, jamaa na marafiki zake. tukio lilifanyika nyumbani kwake Madale.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW