Burudani

Diamond Platnumz atua Mahakama ya Kisutu (+Picha)

Msanii wa Muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz amewasili Mahakama ya Kisutu leo. Habari zilizotufikia kutoka Mahakamani hapo zinaeleza kuwa msanii huyo amefika Mahakamani hapo kwenye Mahakama ya watoto.

Tazama picha;

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents